Utangulizi.

Katika ulimwengu wa leo, watu wameendelea kutafuta njia mbalimbali za kuimarisha afya zao na kuishi maisha yenye afya na furaha. Mojawapo ya njia zilizo maarufu kwa sasa ni kufunga kwa muda wa kati (intermittent fasting).

Intermittent fasting ni nini?

Ni mbinu ya kula ambapo mtu hula kwa vipindi fulani na kufunga kwa vipindi vingine. 

Kwenye intermittent fasting hauzingatii chakula gani ule bali unazingatia zaidi muda gani ule na muda gani usile.

Wanasayansi wengi (neuroscientist) kama Mark Mattson wamethibitisha kwamba  binadamu anaweza kukaa  kwa masaa mengi au hata siku kadhaa bila ya kula chakula.

Jinsi intermittent inavyofanya kazi.

Baada ya masaa mengi bila ya chakula mwili unatumia sukari ya mwilini na kubakiza kiasi kidogo sana na baada ya hapo mwili unaanza kuchoma mafuta yaliyopo mwilini hii process inaitwa metabolic switching. Zoezi hilo likiendea kwa kipindi cha wiki mbili  na kuendelea ndio unaona mabadiliko .

Aina za intermittent fasting.

16/8 fasting- ni kula kwa masaa 8 na kufunga kwa masaa 16 , pamoja na kupunguza kipimo cha chakula unachokula.

mfano 1 ; kuanzia saa saba mchana hadi saa mbili usiku unaweza kula, ila hauli chakula cha asubuhi (kifungua kinywa) ,inapofika saa tatu usiku unaanza kufunga hadi kesho saa saba mchana ndio utafungua, mfumo huu unapendelewa na watu wengi kwa sababu muda mwingi wa kipindi cha kufunga watu wanakua wamelala.

mfano 2; kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni unaweza kula,inapofika saa moja usiku unaanza kufunga na hautafungua hadi kesho yake saa nne asubuhi tena. mfumo huu ni mzuri pia haswa kwa watu wanaopendelea kula chakula cha asubuhi ( kifungua kinywa).

5:2 fasting- ni kula siku 5 za wiki tu na kufunga kwa siku 2 zilizobaki  na kula mara moja kwa siku katika siku mbili hizo unazofunga.

Mfano ;unaweza kula siku zote za wiki isipokuwa jumatatu na jumanne na siku izo mbili utakua unakula mlo mmoja kwa siku na kula kipimo cha kawaida cha chakula.

Kuna aina zengine za kufunga ila izo zina masaa mengi ya kukaa bila kula chakula, mfano 24,36,48 na 72. Ni ngumu na hazipendelewi na watu wengi, kwa sababu ni hatari  kwa afya kama bindamu atafunga kwa mfumo huo kwa muda mrefu/ wa miaka mingi.

Inachukua wiki mbili hadi nne kuona matokeo ya intermittent fasting, mwanzoni inaweza kuwa ni ngumu , kusikia njaa sana,mwili kuchoka, kichwa kuuma, na hasira kuongezeka hii yote ni kwa sababu unaubadilisha mwili kuingia kwenye mfumo usiozoea.

Vitu vya kula katika kipindi cha kufunga.

Kunywa chai au kahawa asubuhi alafu kunywa maji mara kwa mara.

Usinywe vimiminika vyenye calories kama vile soda,processed juice.

Vitu vya kula baada ya kufungua

Fungua kwa kunywa smotthie yenye mchanganyiko wa matunda tofauti ,na kula mlo kamili wenye carbohydrates, protein, fats.

kula kipimo cha kawaida na usile kupitiliza usijaribu kufidia chakula ulichokikosa wakati umefunga, ukifanya ivyo hautaona matokeo ya mfumo huu  

Uzuri wa intermittent fasting unaweza kula vya kula vya aina tofauti bila ya kuhofia.

Faida za kufunga

Kupunguza uzito

Kufunga kwa muda wa kati ni njia bora ya kupunguza uzito. Kwa kufunga kwa vipindi fulani, mwili unatumia akiba ya mafuta kama chanzo cha nishati badala ya chakula unachokula. Hii inasababisha upotezaji wa uzito. Pia, kufunga husaidia katika kudhibiti hamu ya kula, hivyo kupunguza ulaji wa kalori.

Kuimarisha uwezo wa mwili kuhisi insulini

Kufunga kwa muda wa kati kunaongeza ufanisi wa insulini mwilini. Hii husaidia kudhibiti viwango vya sukari ya damu, kuepusha kiwango cha juu cha sukari na hatari zinazohusiana na ugonjwa wa kisukari aina ya 2.

Kuongeza afya ya moyo

Kufunga kwa muda wa kati kuna faida kubwa kwa afya ya moyo. Inasaidia kupunguza viwango vya cholesterol mbaya, shinikizo la damu na viashiria vingine vya ugonjwa wa moyo. Hii inapunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kiharusi.

Kuchelewesha kuzeeka

Utafiti umeonyesha kuwa kufunga kwa muda wa kati kunaweza kusaidia katika kuchelewesha kuzeeka. Kwa kuwezesha mwili kufanya mchakato wa autophagy, kufunga huondoa seli zilizoharibika na kuchochea uzalishaji wa seli mpya, hivyo kuchelewesha mchakato wa kuzeeka.

Kuimarisha utendaji wa ubongo

Kufunga kwa muda wa kati kumesaidia kuimarisha utendaji wa ubongo. Kwa kuongeza uwezo wa mwili kuzalisha protini inayoitwa BDNF, kufunga kwa muda wa kati husaidia kuboresha kumbukumbu, uwezo wa kujifunza na kazi nyingine za kiutambuzi.

Hitimisho

Kufunga kwa muda wa kati ni njia ya kipekee na yenye ufanisi katika kuboresha afya na ustawi wa mtu ,Ila sio kila mtu anaweza kufunga kwa kipindi.Baadhi ya watu wasioruhusiwa kufunga kwa kapindi ni watoto chini ya miaka 18, wanawake wajawazito na wanaonyonyesha,watu wenye ugonjwa wa kisukari 2, watu wenye matatizo ya kutopenda kula.Kumbuka kuwa kabla ya kuanza mfumo wowote wa kufunga, ni muhimu kushauriana na daktari au mtaalamu wa afya ili kuhakikisha kuwa ni salama na inafaa kwa mahitaji yako ya kibinafsi. Kila mtu ana mahitaji tofauti, na kufunga kwa muda wa kati kunaweza kuwa na matokeo tofauti kwa kila mtu.

About Author
Maua Salim
View All Articles

46 Comments

  • Just wanna input on few general things, The website design and style is perfect, the content is rattling wonderful : D.

  • I don’t think the title of your article matches the content lol. Just kidding, mainly because I had some doubts after reading the article.

  • Thanks for sharing. I read many of your blog posts, cool, your blog is very good.

  • Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks!

  • Your point of view caught my eye and was very interesting. Thanks. I have a question for you.

  • There are certainly lots of details like that to take into consideration. That could be a great level to carry up. I supply the thoughts above as general inspiration however clearly there are questions just like the one you carry up where the most important factor will probably be working in honest good faith. I don?t know if finest practices have emerged around issues like that, however I’m certain that your job is clearly recognized as a good game. Both girls and boys really feel the affect of only a moment’s pleasure, for the remainder of their lives.

  • Wonderful web site. A lot of helpful info here. I¦m sending it to some pals ans additionally sharing in delicious. And obviously, thanks on your sweat!

  • I got what you mean , thankyou for posting.Woh I am delighted to find this website through google. “Wisdom doesn’t necessarily come with age. Sometimes age just shows up by itself.” by Woodrow Wilson.

  • Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me.

  • Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks!

  • Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me.

  • Thanks for sharing. I read many of your blog posts, cool, your blog is very good.

  • I don’t think the title of your article matches the content lol. Just kidding, mainly because I had some doubts after reading the article.

  • Your point of view caught my eye and was very interesting. Thanks. I have a question for you.

  • Thank you for your sharing. I am worried that I lack creative ideas. It is your article that makes me full of hope. Thank you. But, I have a question, can you help me?

  • Hey, you used to write magnificent, but the last several posts have been kinda boring?K I miss your great writings. Past several posts are just a bit out of track! come on!

  • I don’t think the title of your article matches the content lol. Just kidding, mainly because I had some doubts after reading the article.

  • A vintage red tub nestles alongside a contemporary glass-block panel that evokes the small window panes of outdated, particularly when it is set into a wall paved in fieldstone.

  • Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me.

  • Thanks for sharing. I read many of your blog posts, cool, your blog is very good.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Posts