SMOOTHIES FOR PREGNANT WOMEN
Utangulizi Kipindi cha ujauzito ni kipindi cha muhimu sana katika maisha ya mwanamke, ambapo mahitaji ya lishe yanaongezeka ili kuhakikisha afya njema kwa mama na mtoto anayekua. Lishe bora wakati wa ujauzito inahusisha kula vyakula vyenye virutubisho vingi vinavyochangia katika ukuaji na maendeleo ya mtoto tumboni. Ni muhimu kwa mama
UMUHIMU WA KUNYWA SMOOTHIE
Utangulizi. Kula matunda na mboga za majani imekua ni shida kwa baadhi ya watu hususani watoto wadogo, na sio kwamba hawapendi matunda, hapana ila tu ni uvivu, au kuchukia kwa ladha ya matunda flani. Ndio kukaa chini na kula machungwa matatu sio rahisi lakini unaweza kunywa juisi ya chungwa sawa
SMOOTHIE BAADA YA KUFUNGA KWA KIPINDI.
Smoothie hii ni nzuri kwa mwili wako baada ya kuvunja mfungo wa kati. Ni tajiri katika virutubisho muhimu na itakusaidia kujaza tena nguvu zako. Viungo: Maagizo:
SMOOTHIE FOR WEIGHT LOSS
Utangulizi Kabla ya kuanza safari yako ya kupunguza uzito,ni muhimu kuelewa kuwa kila mwili ni tofauti.Kila mtu ana njia yake binafsi ya kufikia malengo ya kupunguza uzito.Baadhi ya njia hizo ni kufanya mazoezi,kula vyakula vyenye lishe bora,kufanya diet,kufunga kwa kipindi(intermittent fasting) na kadhalika. Kula vyakula vyenye afya kama matunda na